ADVERTISE WITH US / TANGAZA NASI SASA

Advertise with us for three months,with an offer of free one month advertisement

contact email : adtillya@gmail.com

Saturday, July 6, 2013

Maeneo ya kujidai mjini Dodoma

hii ni picha ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unaweza kutembelea hapa na kujionea shughuli mbalimbali za Bunge na Ofisi ya Bunge wakati wowote, Bunge letu lipo katika jengo hili la kisasa kabisa

hapa panaitwa Nyerere Square, mahali ulipo mnara wa kumbukumbu wa Baba wa Taifa Mwl J.K Nyerere, unaweza kutembelea na kukaa au kupiga picha pia ipo migahawa ya kawaida kwa chakula na vinywaji

hili ni kanisa lililopo mjini kati na linafahamika kama kanisa la Cathedral, unaweza kutembelea na kupiga picha za kumbukumbu hapahapa mjini dodoma