ADVERTISE WITH US / TANGAZA NASI SASA

Advertise with us for three months,with an offer of free one month advertisement

contact email : adtillya@gmail.com

Tuesday, July 9, 2013

Mashindano ya EURO kwa wanawake kufanyika Sweden

Mashindano ya soka ama mpira wa miguu kwa wanawake yanatarajiwa kuanza hapo July 10 hadi 28, timu zimepangwa katika makundi matatu ya timu nne nne, tayari vigogo wa soka hilo Ufaransa na Wingereza pamoja na wenyeji Swedeni wameonesha nia yakulinyakua kombe hilo, timu mbili za kwanza katika kila kundi zitakutana kwaajili ya robo fainali, michezo hiyo itapigwa katika miji mbalimbali yanayo uzunguka mji wa Stockholm katika hatua ya makundi ambayo ni Gothenburg, Halmstad, Vaxjo, Kalmar, Norrkoping and Linkoping  na fainali katika mji wa Solna, pembezoni mwa Stockholm.

Zaidi: www.bbc.co.uk/sport/0/football/23022779